FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Hii timu siku sio nyingi kocha mzungu atachanganyikiwa, hatajua amuanzishe nani, ngoja hizi mashine zote zikae sawa..

I wish ningekuwa na game mbili na uto nichukue pointi zangu 6..
Mbumbumbu bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya yalikuwa maneno yako pia[emoji116]
Screenshot_20230112-202012.jpg
 
Hii timu siku sio nyingi kocha mzungu atachanganyikiwa, hatajua amuanzishe nani, ngoja hizi mashine zote zikae sawa..

I wish ningekuwa na game mbili na uto nichukue pointi zangu 6..
Hata ukaazime wengine Real Madrid, humfungi Yanga.
 
10' Ntibazonkiza Goooooooooooooaaal gooal

Saido Ntibazonkiza anaweka kambani bao la kwanza akipokea pasi murua kutoka kwa Chama.

SIMBA SC 1-0 MBEYA CITY
 
Assist moja matata kutoka kwa Chama
 
Back
Top Bottom