Nimetia timu
Na bado10' Ntibazonkiza Goooooooooooooaaal gooal
Saido Ntibazonkiza anaweka kambani bao la kwanza akipokea pasi murua kutoka kwa Chama.
SIMBA SC 1-0 MBEYA CITY
What a playerSalum kihingwa
Dah[emoji2827]13''Goooooooooooooaaal gooal
Mbeya City wanachomoa
Kwa mpira wanaocheza simba leo watafungwa 3-1Nimetia timu
Amenishangaza, mara yangu ya kwanza kumuona.What a player
Sometimes inasaidia kuongeza hamasa tushinde nyingi.Haya ngoja tuone..mbeya city wamepima maji
Timu za tanzania zinacheza uchi sanaWhat a player