FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Mbeya City wanacheza vizuri kuliko Simba. Walistahili kupata goli kabla hata ya Simba
 
Kapombe baada ya kupinduliwa na kufinywa kaamua amuumize dogo.

Gemu yenu mnashinda hii.
 
Back
Top Bottom