Sasa nimekuelewa....Sasa si ndiyo maana unaona hayo ma assist, na pia magoli!!
Mawazo hayo ya kocha mpya, mnabidi wawe wavumilivu.Boko + Kyombo hapa nimeona shida ipo.
Kwanini Sakho asianze?
Nini tena!! Muwe mna tupa updates. Sisi wengine huwa hatuangalii mechi za viporo.Dubaaaaiiiiiiiiiiii….!!! Hahahahahaha
Ni mbeyaNini tena!! Muwe mna tupa updates. Sisi wengine huwa hatuangalii mechi za viporo.
Dubai fc kaongeza goli!!
I hope second watabadilikaKwa mpira wanaocheza simba leo watafungwa 3-1