mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Kwani matokeo mpaka sasa ni ngapi ngapi? Na ni dakika ya ngapi?Hivi hawa simba huko dubai walienda kufanya nini?
Mchoko unaonekana Wazi.Hivi hawa simba huko dubai walienda kufanya nini?
Wampe muda ili aifanye timu kuwa bora kama ile ya Vipers. Fukuza fukuza makocha nayo inadhoofisha maendeleo ya timu.Huyu kocha hamalizi msimu. Wangemuachia mgunda timu amalize msimu.