OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
YaaanPhiri hii ndio ilikuwa game ya kupiga hata 5
Hao hawaishiwi maneno, wana kiwanda cha kutengeneza maneno sasa hivi kimezungukwa na tope kwa hizi mvua.Wanalalamika redcard, huu usajili ni very technical.
pole mkuuYaani mwamuzi akitoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa timu pinzani ndiyo mnapata ahueni!
Kifurushi cha wiki kitawatosha wajela jela haaaaaSimba acheni utani ikiwezekana wapigeni hata 8
Simba tamu kama mainiHapo PHIRI hayupo
OKRAH yupo benchi
Mkuu upo hapo?Niko Live Mkuu
Mtatafutana na Azam kwenye nafasi yenu hiyo.Hapo bado Manzoki hajatua
Mamake tutatafutana msimu huu
KabisaaaManula angetoka aanze kufanya maandalizi ya mkesha
Wataita maji mmaHapo bado Manzoki hajatua
Mamake tutatafutana msimu huu
Ukweli mchungu kabisa huu. Mpaka muda huu ubao wa matokeo ungekuwa unasoma 1-1! Ahueni red car imeleta furaha kwa ndugu zetu.Bila red card au kupewa penati ushindi wenu ni kama gari la mkaa