FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Wametembeza bahasha hii mechi kwa refa alafu sharti wakampa refa kuwa atoe kadi nyekundu ili washinde goli nyingi tusione palipovuja🤣🤣
Hata washinde goli 100! Wasahau kuongoza ligi, au kuchukua ubingwa kwa miaka 10 mfululizo.

Huu ni mwaka wa 2 tu. Bado miaka mingine 8 ya maumivu. Watabadilisha makocha wote, lakini haitasaidia kitu. Wataambulia tu furaha ya muda mfupi.
 
Kama wazee wanakugonga sita, naona wewe kijana ndie utakuwa mzee.
 
Hata washinde goli 100! Wasahau kuongoza ligi, au kuchukua ubingwa kwa miaka 10 mfululizo.

Huu ni mwaka wa 2 tu. Bado miaka mingine 8 ya maumivu. Watabadilisha makocha wote, lakini haitasaidia kitu. Wataambulia tu furaha ya muda mfupi.
🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Kolo.jpg
    Kolo.jpg
    21 KB · Views: 2
Mkuu nafikiri ungeangalia mpira tangu mwanzo usingeweka comment kama hii.
Hata kama ningeangalia, bado isingebadili huu mtazamo wangu. Maana kuna mechi huyo Inonga alimchezea Sure Boy rafu mbaya, na mwamuzi aliuma filimbi.
 
Back
Top Bottom