ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Yanga hatuna chawa kama weweMimi Yanga ila Saido 1 sawa na Aziz K 13
Niliona tag yako sikutaka kujibu kwasababu najua kusimamia msimamo wanguGenta aliwaambia Manzoki haji mbona hauelewi
Hata washinde goli 100! Wasahau kuongoza ligi, au kuchukua ubingwa kwa miaka 10 mfululizo.Wametembeza bahasha hii mechi kwa refa alafu sharti wakampa refa kuwa atoe kadi nyekundu ili washinde goli nyingi tusione palipovuja🤣🤣
Kwahio unabishana na Genta?Niliona tag yako sikutaka kujibu kwasababu najua kusimamia msimamo wangu
Trust me, manzoki tupo naye baada ya dirisha dogo
Mechi yake ya kwanza tu mmeanza kelele, huwa hamjifunzi nyie makolo. Mmesahau habari ya Kibudenga!Utopolo leteni barua tuwauzie Saido
Haaaaaaaa haaaaa
Ulikuwa hujui...?Weee jamanii kumbe 6?
Tunachowaomba tu muwatulize wale wazee wa YangaMtatafutana na Azam kwenye nafasi yenu hiyo.
🤣🤣🤣Hata washinde goli 100! Wasahau kuongoza ligi, au kuchukua ubingwa kwa miaka 10 mfululizo.
Huu ni mwaka wa 2 tu. Bado miaka mingine 8 ya maumivu. Watabadilisha makocha wote, lakini haitasaidia kitu. Wataambulia tu furaha ya muda mfupi.
Ukweli mchungu kabisa huu. Mpaka muda huu ubao wa matokeo ungekuwa unasoma 1-1! Ahueni red car imeleta furaha kwa ndugu zetu.
Tatizo anayewatuma anawaharibia yeye hajali wakifungwa bora wawaumize wachezaji muhimu wa SimbaSafi sana refa. Huu ni upunguani mkubwa sana
Eee mm naangalia hapa sipo kwny TV so sikuona juuUlikuwa hujui...?
Hata kama ningeangalia, bado isingebadili huu mtazamo wangu. Maana kuna mechi huyo Inonga alimchezea Sure Boy rafu mbaya, na mwamuzi aliuma filimbi.Mkuu nafikiri ungeangalia mpira tangu mwanzo usingeweka comment kama hii.