FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

giphy.gif
 
Hii hakika ni zawadi ya mwaka mpya toka kwa Simba SC..

Taifa Kubwa...

Nguvu Moja[emoji1306][emoji1306][emoji1306]
 
Yanga kulikuwa kuna huyu Feisal, Farid Mussa na Saido

Hawa watu nilikuwa nawakubali sana

Yanga kumuacha Saido nilifurahi sana kwa maana walikuwa wanatuweka kwenye wakati mgumu siku ambayo tukikutana

Leo yupo Msimbazi na anazidi kuwa prove wrong critics waliombeza kwa kigezo cha umri

Hattrick na Assist sio jambo la kitoto
Alipoachwa mliwahi kuifunga hiyo Yanga?? Upinde bhana sijui mnachanganyikiwa na nini.
 
Back
Top Bottom