FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Soka Kwa Sasa ni ajira. Waajiriwa wanaitwa Wachezaji. Ili uwe mwajiriwa katika soka lazima uwe unajua kucheza na uwe na Afya njema. Anapotokea mchezaji badala ya kucheza soka lengo lake likawa ni kuumiza wenzake huku akijua Huyo anayemuumiza hiyo ndo ajira yake, Huyo Hana tofauti na muuaji.

Kitendo alichokifanya Samson Mbangula dhidi ya Henock Inonga ni upuuzi wa kipuuzi unaoweza kufanywa na mpuuzi Mwandamizi. Forward unafanya dangerous foul Kwa beki eneo lisilo na hatari Kwa timu yako wala haina faida kwamba ukiifanya refa asione unapata goli.

Ni mwendelezo wa Wachezaji wapuuzi wasiojali Afya za Wachezaji wenzao na kubakiza sifa za kijinga eti anajua kupiga viatu.
 
Kanoute anaonyeshwa Kadi ya Njano
 
ZABONA MAYOMBYA huyu dogo wa Prison [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Sakho amewasha Moto wa 5G, Ntibazonkiza anakosa nafasi nzuri ya kufunga
 
Yule katumwa, kama sio kumuumiza Inonga au amelipa kisasi. Safi sana sababu Inonga ndo michezo yake.
 
Million 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…