FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

60' [emoji460] Ntibazonkiza Goooooooooooooaaal gooal

Ntibanzokiza anaweka kambani bao la tatu akipokea pasi murua kutoka kwa Chama
 
Soka Kwa Sasa ni ajira. Waajiriwa wanaitwa Wachezaji. Ili uwe mwajiriwa katika soka lazima uwe unajua kucheza na uwe na Afya njema. Anapotokea mchezaji badala ya kucheza soka lengo lake likawa ni kuumiza wenzake huku akijua Huyo anayemuumiza hiyo ndo ajira yake, Huyo Hana tofauti na muuaji. Kitendo alichokifanya Samson Mbangula dhidi ya Henock Inonga ni upuuzi wa kipuuzi unaoweza kufanywa na mpuuzi Mwandamizi. Forward unafanya dangerous foul Kwa beki eneo lisilo na hatari Kwa timu yako wala haina faida kwamba ukiifanya refa asione unapata goli.
Ni mwendelezo wa Wachezaji wapuuzi wasiojali Afya za Wachezaji wenzao na kubakiza sifa za kijinga eti anajua kupiga viatu.
Tatizo ni ahadi ya milioni 30
 
62' [emoji460] Bocco Goooooooooooooaaal gooal

John Bocco anaweka kambani bao la nne, akipokea pasi ya Chama
 
Back
Top Bottom