OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Saidoooooooooooooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena tukiwa pungufu maana Sakho yupo nje anapatiwa matibabuSaidoooooooooooooooo
Nilimchukulia kawaida sana wakati wa sajiliTena tukiwa pungufu maana Sakho yupo nje anapatiwa matibabu
Tatizo ni ahadi ya milioni 30Soka Kwa Sasa ni ajira. Waajiriwa wanaitwa Wachezaji. Ili uwe mwajiriwa katika soka lazima uwe unajua kucheza na uwe na Afya njema. Anapotokea mchezaji badala ya kucheza soka lengo lake likawa ni kuumiza wenzake huku akijua Huyo anayemuumiza hiyo ndo ajira yake, Huyo Hana tofauti na muuaji. Kitendo alichokifanya Samson Mbangula dhidi ya Henock Inonga ni upuuzi wa kipuuzi unaoweza kufanywa na mpuuzi Mwandamizi. Forward unafanya dangerous foul Kwa beki eneo lisilo na hatari Kwa timu yako wala haina faida kwamba ukiifanya refa asione unapata goli.
Ni mwendelezo wa Wachezaji wapuuzi wasiojali Afya za Wachezaji wenzao na kubakiza sifa za kijinga eti anajua kupiga viatu.