kombe limegongelewa misumari,iyo ni misumarj mkuu[emoji23][emoji23]Wadhamini wa Ligi Kuu, TFF na Bodi ya Ligi, msimu ujao madudu kama haya hayafai kuwepo.
View attachment 2272916
Yuko on fire haya ngoja tuone kama ataitwa timu ya taifaKichuya ni motoo, amefunga mabao matatu (hat-trick) dhidi ya Mtibwa
Hat-trick ni mgumu sana msimu huu
FT: Mtibwa Sugar 2-4 Namungo FC
Vyote vyaweza kuwa jibu sahihiUna wasiwasi na namna ya Matola alivyopanga Kikosi au Prisons ni wakali kuliko Simba SC..?!
nyie mna maajabuTunacheza Simba SC kuwafundisha nyie Kabumbu la viwango vya CAF. Ukiacha Unbeaten msimu huu, Yanga SC hawana maajabu yoyote yaani..!
CCM walikuwa na mkutano maeneo gani?Sorrrry!!! Nimekosea nikapost hukuuuView attachment 2273202