FT: Ligi Kuu Bara | Tanzania Prisons 1-0 Simba SC | Uwanja wa Sokoine | Juni 26, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Tanzania Prisons 1-0 Simba SC | Uwanja wa Sokoine | Juni 26, 2022

Kwa hiyo simba amefikia dau kwa wajela jela, wakaamua kuuza mechi! Yaani simba ya Matola ni ya kufungwa na timu kama Tanzania Prisons kweli!

Halafu wanakubali kufungwa siku ambayo watani zetu wanasherehekea ubingwa wao kweli! Yaani wachezaji wameamua kutuumiza kweli! Sisi mashabiki kweli!! 🥵
 
Evelyn Salt mpenzi, imekuwaje tena?
imekua hivi.....👇😂😂😂
yangasc-20220626-0001.jpg
 
Kwa hiyo simba amefikia dau kwa wajela jela, wakaamua kuuza mechi! Yaani simba ya Matola ni ya kufungwa na timu kama Tanzania Prisons kweli!

Halafu wanakubali kufungwa siku ambayo watani zetu wanasherehekea ubingwa wao kweli! Yaani wachezaji wameamua kutuumiza kweli! Sisi mashabiki kweli!! [emoji3062]
Stress jamani, muwahurumie tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom