Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa na bora imenyesha tukajua panapovujaUkiona maumivu ni makali, basi furaha inakaribia. Mnyama Mkali atarespond muda si mrefu.
Nguvu Moja..!
Leo nadhani ndo unaanza kujua..!Ndiyo ninavyoanza toka kitambo, iwe Simba SC ameshinda au amepotezaUmeanza kwa Mbwembwe lofa wewe, makolo ni makolo tu.
Sawa hayawahusuSimba haijawahi kufurukuta achezapo na Tanzania Prisons away. Huu ndiyo ukweli mchungu. Hata msimu uliopita, ilifungwa kule Sumbawanga.
Kama nyie mlivyopokea kombe kinyonge mlitakiwa mpokee kombe kwa point 3 bwana na sio drooo.Watani mmemaliza ligi kinyonge sana😀😀
Yeah kweli gongo imeumwagilia moyo wako.Ni siku nyingine tena ya kumwagilia moyo.
SIMBA NGUVU MOJA
Naskia bado mechi moja mtangaze ubingwa.
Bambukicha kweli wewe oya oya ..Kama nyie mlivyopokea kombe kinyonge mlitakiwa mpokee kombe kwa point 3 bwana na sio drooo.
Hichi ndio mnatufundisha?Tunacheza Simba SC kuwafundisha nyie Kabumbu la viwango vya CAF. Ukiacha Unbeaten msimu huu, Yanga SC hawana maajabu yoyote yaani..!
Mechi ya leo inahusiana nn na CAFKwani kufungwa kwa leo Ligi Kuu kumefanya kuporomoka kwenye nafasi yetu ya 12-15 kwenye CAF?
Mpira wasasa unataka wazee wachache na vijana wengi. Sasa timu inawazee wengi kama mkutano wa ukoo. Cheki huyu ktk picha
Msamehe tu huyu zuzu hana halijualo ana hasira kwa sasa kama mjamzito.Mechi ya leo inahusiana nn na CAF