FT: Ligi Kuu Bara | Tanzania Prisons 1-0 Simba SC | Uwanja wa Sokoine | Juni 26, 2022

67' Ametoka Lwanga na ameingia Mzamiru, upande wa Simba SC

Bado Prisons wapo mbele ya bao moja.
 
yaani kolo leo anashida huku wananchi huku jela
 
Matola hizi ndio nafasi za kuosha jina sasa
Lakini inaonekana na wewe ni mzigo tu hapo simba

Likija benchi jipya itafutiwe kazi nyingine
Sio Matola Simba inapata wakati mgumu sana nje ya Kwa Makapa.
 
Huyo Sakho ni baadhi ya mechi tu, hakuna mtu hapo.
 
Kule kwa vunja Bei nimetabili sahihi kabisa adi mfunguji ila sijaweka Bei ya kadeti Mana sijui sijui nitashinda japo Mimi Simba damu ila nilijua Leo atutoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…