Kwani tungeshinda leo tungewaondoa Utopolo kileleni?Simba wangese Sana... Wametia watu hasara leo!
Kutuna heshoma ya ukubwa na kuweka rekodi, kwani hizo game mlizoshinda mlikuwa mnataka kuiondoa Yanga kileleni?Kwani tungeshinda leo tungewaondoa Utopolo kileleni?
Evelyn Salt mpenzi, imekuwaje tena?Kwani tungeshinda leo tungewaondoa Utopolo kileleni?
Mmetufundisha kweliTunacheza Simba SC kuwafundisha nyie Kabumbu la viwango vya CAF. Ukiacha Unbeaten msimu huu, Yanga SC hawana maajabu yoyote yaani..!
Dah.. Masikini utopolo.. huu ni ushamba wa kukosa ubingwa miaka 4. Ubingwa wa TZ tu ndiyo watuvurugie shughuli zetu!!!imekua hivi.....ππππ
View attachment 2273237
Kwahio Leo mlikua mnacheza CAF?Yes, kupoteza ni sehemu katika mchezo lakini ukweli wa viwango vya CAF unabaki pale pale.
Stress jamani, muwahurumie tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo simba amefikia dau kwa wajela jela, wakaamua kuuza mechi! Yaani simba ya Matola ni ya kufungwa na timu kama Tanzania Prisons kweli!
Halafu wanakubali kufungwa siku ambayo watani zetu wanasherehekea ubingwa wao kweli! Yaani wachezaji wameamua kutuumiza kweli! Sisi mashabiki kweli!! [emoji3062]
H
Dah.. Masikini utopolo.. huu ni ushamba wa kukosa ubingwa miaka 4. Ubingwa wa TZ tu ndiyo watuvurugie shughuli zetu!!!