Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
ETi kuondoka kwa Barbra mambo yameanza kuwa mazuri...ya kweli hayo mkuu?
Kwani mtibwa si alikula tano na babra yupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ETi kuondoka kwa Barbra mambo yameanza kuwa mazuri...ya kweli hayo mkuu?
Imempiga Geita Kitu Kizito Mpaka Gold ZimetawanyikaKheeee nyieee hiii Simbaa balaa zitoo
Na vipi hali yako kwasasa?Simba wanaongoza mbili bila, Ila haibadilishi maombi yangu Kwa Geita second half wasawazishe ameen.
HaswaUnazungumzia enzi za chama au? Mada inahusu chama mmoja ni sawa na wachezaji wote wa Yanga jumlisha na mashabiki wake.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Hali yangu njema, Mimi kama mwananchi bado naongoza ligi .Na vipi hali yako kwasasa?
Ila wewe!! aone manene?Tate Mkuu
Bestieee njooo huku uobeee mambooooooooooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app