Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa hata akimaliza miaka yake ya mpira, Simba impe mkataba wa benchi la ufundi. Jamaa anajuaaaAssist ya 8 kwa chama
Aaagh wapi.Huyu Kibu Denis Yuko vizuri sana. Ana composure, check goli lake, Finishing ya hali ya juu. Ni vile tu hajaingia kwenye mioyo ya mashabiki.
Aongezewe mkataba huyu.
Bahasha kwani sisi ni Yanga?Mimi sio kipa
Wa mechi ndogo kama hizi.Chama ni shida sana yaani [emoji16][emoji881][emoji16]
Acha makasirikoWa mechi ndogo kama hizi.
Tumekula mkono kama ule tulipigwa na kolo miaka 10 iliopita yaani kono la nyaniMakolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Ngada FC mkipigwa naomba mje mnistue Utopolo kuwazomea.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ohhho....nilizani lile goli la mbinguni la Triple CMi nazungumzia header ya bocco
Na Ile Vits mliyotaka kumpa Kabwili ili apigwe red card ili mechi inayofura dhidi ya Ngada akae golini Kindoki ilimumfunge magoli mengi umesahau sio?Bahasha kwani sisi ni Yanga?
Hilo lipo waziChama mmoja ni sawa na Yanga nzima na mashabiki wao