FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

Sakho Goooooooooooooaaal gooal

Pape Sakho anaweka kambani bao la nne kwa shuti kali la umbali wa mita 37 na kumuacha golikipa Arakaza akigaagaa

Geita Gold 0-4 Simba SC
 
Bahasha imepita kwa kipa. TAKUKURU fanyeni kazi yenu. HAWA jamaa Ni wazuri kwa Mambo hayo.
Walitaka kumhonga Kabwili Vits lakini sijui iliishaje ile kesi.
 
Back
Top Bottom