OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Eti Bokko ndio straika tunayemtegemea😩😩😩😩
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CC Mshana JrAnayedhani Simba hii ina Wachezaji wa kupambania Kombe anajidanganya.
Tatizo NgadaEti Bokko ndio straika tunayemtegemea😩😩😩😩
Heee sisi ndo Ngada orijinali hatuikatai timu yetu wacha tungadukeWewe leo wa kusema haya..!! Kweli Ngada FC
Tuache NgadaBado Polisi wanakuja.🤣🤣🤣🤣
Niambie mrembo wangu Shadeeya kuna habari gani hapa?
NI mazuri, inategemea tu upo upande ganiNacheka kama mazuri [emoji1787]
🤣🤣🤣🤣Heee sisi ndo Ngada orijinali hatuikatai timu yetu wacha tungaduke
Wanaotoka droo ya 1-1 na Simba, sisi wananchi tunawafunga 4-1
Ngada FcSimba ni timu mbovu ila inabebwa na upumbavu wa mashabiki.
Usijari tutawalipia kisasi wanakuja kwa wananchiHeee sisi ndo Ngada orijinali hatuikatai timu yetu wacha tungaduke
Ngadasi tulikubaliana chama karudi sa imekuwaje?
Tulishasema chama ni kwa mkapa tu sio mikoaniSimba mbabe akiwa Mkapa.