FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

Mbeya city 0 simba 2
Unajisikiaje huko uliko?? Halafu goli la SImba boko alikuwa offside maana alikuwa na athari kwenye goli. Kitendo cha kuuruka mpira na maana yake umeleta athari kwenye goli
 
So far Yanga ni bingwa wa NBC. Simba yangu tia maji tia maji sana. Kikosi kifinyu mno mno.
 
Management na bodi ya Simba wanaishi kilaghai. Msimu wa pili wanafanya usajili mbovu usio na macho! Wanapata udhamini wanasajili akina Akpan UJINGA!!
Dada CEO kaambiwa na Mwamedi abane matumizi, ndo maana sajiri zimekua za bei rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…