FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

Mkakutana na Batter Bullets ya Malawi imejichokea mkapiga makadhani ni kipimo. Ikaja ya Angora ilipigwa pia na Namungo,hapo ndio ilikuwa mshtukie kwamba hiki sio kipimo
Nilishawahi kuwaambia timu yao ni ya kawaida sana caf isiwazuzue maana njia waliyopita ni nyepesi sana sasa tatizo lao wakishavuta cha mexico huwaambii kitu
 
Haaa haaa haaa mkuu waonee huruma hali yao mbaya ujue
Hakuna cha kuwaonea huruma. Wewe mtu gani (Bocco) anatoka kwenye kufunga hat trick leo anaishia sifuri..!! Mwenzie Mayelle katoka kwenye 3, kapiga mbili mechi iliyofuta
 
Hadi tuwe wa mwisho kwenye ligi ndo uongozi utatambua kuwa kuna wachezaji, makocha hawatakiwi kuwa nasi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Simba chini ya mgunda haina tofauti na kosto union. Na akiendelea kuifundisha timu hii, mwisho wa msimu simba itacheza relegation play off
 
Kalpana anasema wao ndio Ngada Original kwa hio wanajivunia Ngada km Ngada Fc
Sasa mnataka tufanyeje tujinyonge kwa sbb mnatuita ngada fc?? Mbona nyie mmeridhika na Vinye,vyura,mihogo,gongowazi,manyani etc etc etc πŸ˜› πŸ˜†
 
ha ha ha gentamycin leo una riwaya ipi?
 
Chama mna mu underate kisa tumetoka drooo?.hamjaona assist alizokua anatoa japo hazikuzaa magoli?...
 
Kupata MATOKEO ni Jambo moja kwenye mpira Ila kuwa kikosi na timu pana ni jambo lingine!, Ni wakati wa nyie wasahangiliaji wa ngada fc kutambua kuwa timu yenu ni mbovu hata kama inapata matokeo ya tia maji tia maji.
Hakuna timu Duniani kote inayobebwa na mabega ya mchezaji mmoja!!, Yule kiungo wenu konokono leo amekabwa kwa jihadi alikuwemo Kama hayumo. Mzamiru na mkude umri umewaacha hawawezi kucheza dakika 90 za damu na jasho, timu imekata upepo kipindi Cha kwanza katikati dogo Nassoro katawala dimba πŸ€”πŸ€”.

Mgunda nae yaani unataka matokeo dk zile unamtoa mtu wa jihadi kama phiri na kuingiza mchezaji wa umitashumita πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒπŸƒ
 
Simba chini ya mgunda haina tofauti na kosto union. Na akiendelea kuifundisha timu hii, mwisho wa msimu simba itacheza relegation play off
Mfano akija kocha mwingine, na wachezaji wakabaki hawa tunaowaona unaona matokeo yoyote?
 
Sasa mnataka tufanyeje tujinyonge kwa sbb mnatuita ngada fc?? Mbona nyie mmeridhika na Vinye,vyura,mihogo,gongowazi,manyani etc etc etc πŸ˜› πŸ˜†
Sawa Ngada Fc leo vipi umeonja kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…