Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
YessCome on Mbeya City wao kuongoza sio shida hata Argentina jana alianza kwa kuongoza kipindi cha kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YessCome on Mbeya City wao kuongoza sio shida hata Argentina jana alianza kwa kuongoza kipindi cha kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa wakina Kibu, Putin na Nungunungu ni wanariadha?Tukisemaga team haina wachezaji hii watu wanabisha mno
Hakuna wachezaji wenye vipaji hao wanacheza jihad ipo siku watajinyea uwanjani
Sana tena mno sakho abebe kombe la mavi labdaAnayedhani Simba hii ina Wachezaji wa kupambania Kombe anajidanganya.
Weww mpira hujui kumbe unafurahia sare?Nyie mna droo ngpai mpk sasa kwani
[emoji16]Simba ni kuuuubwaaaaaa
Ah leo wacha nicheke maana unakuwaga na maneno humu balaaa.Naona unachekaaaaaaa
Jana na Leo kanjibahi anawashughulikia ki ulaloulalo wazee wa kubeti 👊👊👊Muhindi jana na leo kachuma pesa
Sasa Kama ameishiwa mbinu amekupelekaje makundi!!.Nawashangaa mnaosema Simba haina wachezaji wazuri wakati ndio hao wametupeleka makundi klabu bingwa Afrika, Mgunda ameishiwa mbinu huu ndio ukweli.
Prison ndio huwa anatupa wakati mgumu zaidi lakini sio mbeya city. Ila uwanja wa sokoine ni mgumu sana kwa simba.
Sasa kwanini haulizungumzii goli la mbeya city ambalo lilikuwa hivyohivyo?Unajisikiaje huko uliko?? Halafu goli la SImba boko alikuwa offside maana alikuwa na athari kwenye goli. Kitendo cha kuuruka mpira na maana yake umeleta athari kwenye goli
Nimeshikwa pabaya..Ah leo wacha nicheke maana unakuwaga na maneno humu balaaa.
Poleni bwana naona biwanja vya uge ini sio rafiki kwenu.
Sijafurahi bwana kwani kwny mpira kuna kufunga kila siku? Waulize manchester na ArsenalWeww mpira hujui kumbe unafurahia sare?
Hatariii haahah mi mbona siwasemagi kuhusu bahasha?Kumbe nyie pia mnapokea bahasha kijanja janja [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba chama tunamdharau lakin ka-assist bila goli..hii kitaalamu tunaitaje labda.Haijawahi tokea assist bila goli