FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

Sijafurahi bwana kwani kwny mpira kuna kufunga kila siku? Waulize manchester na Arsenal
Kwani ukikubari kuwa simbq ina mapungufu utakosa pesa?

Kwaiyo unatamani simba iwe ivi tu?
 
Ongera Mbeya City kwa goli zuri lisilo na utata.

Waamuzi wa leo wangekuwa makini mpira ungeisha kwa 1 - 0.

 
Management na bodi wajiuzuru! Matatizo haya ni yao!! Kama unaipenda Simba tuukate uongozi wa Simba! Wamefeli bila sababu za msingi! Tatizo sio wachezaji wala kocha ni uongozi ambao hujificha kwenye kivuli cha wachezaji au kocha!

Tuombe uchaguzi haraka tufanye mabadiliko! Harakati zinaanza!
Mmeanza sasa kutafuta mchawi
 
Back
Top Bottom