Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tangu zama za Tukuyu Stars Banyambala, Mecca hadi sasa Prisons na Mbeya CityPrison ndio huwa anatupa wakati mgumu zaidi lakini sio mbeya city. Ila uwanja wa sokoine ni mgumu sana kwa simba.