FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

Hapa ndipo lilipoungua shoka...mpini ukabaki😁😁😁
 

Attachments

  • 8B322409-A16C-426D-BE40-DC5ACD3E6339.jpeg
    8B322409-A16C-426D-BE40-DC5ACD3E6339.jpeg
    77 KB · Views: 2
Next match na Polisi tz, lazima watoboke aisee.
Mnyama atanyonyolewa mpaka abaki na ngozi kama kiboko.

Hizo points 10 za away zilizobaki simba ataondoka na 3 au 4 tu.
Wakati huo huo yanga akiziweka kwapani ponit zote ktk mechi zote watu watakufa na presure these time
 
Back
Top Bottom