FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

Kocha hana plan B, hajui kufanya hata tactical adjustments kuendana na wachezaji alionao, ni mbovu msimtetee hii Simba itamaliza nafasi ya tano kwa huu mwendo.
Tumchukue Mwinyi Zahera, atatusaidia.
 
Tuseme ukweli tu ni wakati sasa wa kusafisha kikosi, simba sisi wachezaji hatuna
Simba sio mbaya kiviile. Kinachotuponza ni kutaka kijimwambafy kwa Uto wakati si saizi yetu.
Tumeshazoea kuweka dharau ya kuwaona underdog kwetu ndicho kinacho tuumiza.
 
Au muharami (kocha wetu wa makipa) hakumuachia manula mzigo wa kutosha.
 
Au muharami (kocha wetu wa makipa) hakumuachia manula mzigo wa kutosha.
Hapana kabwili ndo kaacha mzigo simba maana kabwili alisema simba wapo wenzake saba kawaacha nahisi kibu denis hakosi ila unga kazi ya kiume ila ile ya kabwili ngoja niishie hapo.
 
Hapana kabwili ndo kaacha mzigo simba maana kabwili alisema simba wapo wenzake saba kawaacha nahisi kibu denis hakosi ila unga kazi ya kiume ila ile ya kabwili ngoja niishie hapo.
Hicho ndicho mlicho bakisha
 
Simba sio mbaya kiviile. Kinachotuponza ni kutaka kijimwambafy kwa Uto wakati si saizi yetu.
Tumeshazoea kuweka dharau ya kuwaona underdog kwetu ndicho kinacho tuumiza.

Uto anahusika na sare ya leo?
Je ni mara ya kwanza Simba kupata sare? Je ukipata sare huwezi kuwa bingwa? Team kufungwa na team dhaifu ni jambo la ajabu kwenye mpira? Waulize Ujerumani dhidi ya Japan 1-2 na Argentina dhidi ya Saudia 1-2!
 
Sasa kwanini haulizungumzii goli la mbeya city ambalo lilikuwa hivyohivyo?
Goli la Mbeya City hakuna aliyeruka mpira. Yule mchezji mpira umepita pembeni yake..!! La simba bwana Boko aliruka na mpira ukampita kama tobo hivyo kuleta athari kwenye goli huku akiwa offside..!!

By the way, yaani unataka kutumia makosa ya kwenye goli la Mbeya City (kama yapo) kuhalalisha goli la Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…