FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

NAIANGALIA SIMBA YANGU.

INAKATISHA TAMAA.

TIMU INA WACHEZAJI WADOGO MNO.
QUALITY IPO CHINI SANA.

HATA PASI TATU HAZIFIKI.
PAPATU PAPATU TU.
Haujawahibkuwa Simba wewe..acha ukiroboto
 
Nilibahatika kuongea na mashabiki wa Yanga baada ya mechi yao na Geita kuisha nikawaukiza kama walikubaliana na ile penati, wakasema ile haikuwa penati ya halali lakini kama refa ametupa sisi tukatae? Vivyo hivyo na kwa Simba, kama refa ameridhia kuwa ni goli wakatae?
Yanga hawana tatizo wanaelewa marefa kama binadamu wanakosea tatizo linakuja kwa hao wa simba sasa makosa yakifanyika kwa kuwanufahisha wapinzani wao wanakuja na story za bahasha., yaani wao wanataka wanufaike wao tu wakinufaika wengine kosa., mechi kibao wanaahidiwa motisha wakipata matokeo mazuri cha kushangaza timu zingine zikiahidiwa motisha wakipata matokeo mazuri dhidi ya simba wanadai wanahujumiwa mechi zao nyingi zinaamuliwa kwa makosa ya marefa au wachezaji wa timu pinzani wanaona sawa ila makosa ya marefa na wachezaji wakiwanufaisha wapinzani wao wakuu wanakuja na madai ya bahasha
 
Nawakumbusha mbumbumbu kuwa hata kagera sugar aliongoza goli 2 -0 kipindi cha kwanza dhidi ya mbeya City,. Kilichowakuta kagera nanyie kitawakuta tu
 
Kibu D kipenzi cha wana Simba anaingia skichukua nafasi ya Okrah ambaye amepata majeraha
 
54'' Ameingia Kibu na ametoka Okrah

Mbeya City 0-1 Simba SC
 
Nawakumbusha mbumbumbu kuwa hata kagera sugar aliongoza goli 2 -0 kipindi cha kwanza dhidi ya mbeya City,. Kilichowakuta kagera nanyie kitawakuta tu
Acha jakamoyo braza sijui baba... kama una raha na timu yako huku unafata nini? Wenye raha huwaoni humu yani wale anibiten wenye raha huwaoni humu ila ww naona unatutakia mabaya kweli unateseka.
 
Acha jakamoyo braza sijui baba... kama una raha na timu yako huku unafata nini? Wenye raha huwaoni humu yani wale anibiten wenye raha huwaoni humu ila ww naona unatutakia mabaya kweli unateseka.
Sasa mkibaki wenyewe humu furahi mtaitowa wapi?? Simba na Yanga huwaga lazima mmoja mkere mwenzake.. we ukijiletaga kwenye mechi zetu Huwa tunakufukuza??? Mbona Leo ushabiki unataka kukutokea puani?? Nimewakera sana eeh?? Na bado ngoja tuchomoe goli ndio mtajua hamjui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom