Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee ndo ujionee huruma kutwa kuiwaza Simba. Sisi wenyewe tuna raha na timu yetu mbonaaHii timu ni yakuonea huruma.. hebu oneni wachezaji Wao wakutumainiwa wa first eleven Mkude, Onyango, Mzamiru, boco.. .....
kama mambo yakiwa magumu Kwa Hawa walioanza hebu tazama walioko hapo benchi wakuja kuokoa jahazi utacheka sana..
Eti Kuna Kibu, akpan,Nyoni,Gadiel,ouatara,kyombo,
Kennedy,...
Kweli Hawa ndugu zetu tuwaombee angalau wapate akili za kufanya usajili mzuri... Wamejaza lundo la wachezaji takataka ambao hata hawawezi pata namba kmc/kagera sugar/singida big stars
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848]... Mbeya city wasipochomoa niite [emoji1663][emoji1663]Wee ndo ujionee huruma kutwa kuiwaza Simba. Sisi wenyewe tuna raha na timu yetu mbonaa
Sio phili ni kapombeRafu dhidi ya Phiri ilipaswa iwe Penati
Mbwaa tayarii 😆 😆[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848]... Mbeya city wasipochomoa niite [emoji1663][emoji1663]
Si bado kipindi cha pili?? Afu subili wachambuzi wakuambie jinsi mlivyofunga goli la offsideMbwaa tayarii
Serious alikuwa ni Kapombe yule?Sio phili ni kapombe
Mimi nimeanza tayari hahahha....wachambuzi wa mchongoSi bado kipindi cha pili?? Afu subili wachambuzi wakuambie jinsi mlivyofunga goli la offside
Waaambie mbumbumbu wenzako labda watakuelewa...NAIANGALIA SIMBA YANGU.
INAKATISHA TAMAA.
TIMU INA WACHEZAJI WADOGO MNO.
QUALITY IPO CHINI SANA.
HATA PASI TATU HAZIFIKI.
PAPATU PAPATU TU.
Mhhh 😆😆😆NAIANGALIA SIMBA YANGU.
INAKATISHA TAMAA.
TIMU INA WACHEZAJI WADOGO MNO.
QUALITY IPO CHINI SANA.
HATA PASI TATU HAZIFIKI.
PAPATU PAPATU TU.