Nadhani tayari umesikia halikupaswa kuwa goli..Mimi nimeanza tayari hahahha....wachambuzi wa mchongo
Haujawahibkuwa Simba wewe..acha ukirobotoNAIANGALIA SIMBA YANGU.
INAKATISHA TAMAA.
TIMU INA WACHEZAJI WADOGO MNO.
QUALITY IPO CHINI SANA.
HATA PASI TATU HAZIFIKI.
PAPATU PAPATU TU.
Yanga hawana tatizo wanaelewa marefa kama binadamu wanakosea tatizo linakuja kwa hao wa simba sasa makosa yakifanyika kwa kuwanufahisha wapinzani wao wanakuja na story za bahasha., yaani wao wanataka wanufaike wao tu wakinufaika wengine kosa., mechi kibao wanaahidiwa motisha wakipata matokeo mazuri cha kushangaza timu zingine zikiahidiwa motisha wakipata matokeo mazuri dhidi ya simba wanadai wanahujumiwa mechi zao nyingi zinaamuliwa kwa makosa ya marefa au wachezaji wa timu pinzani wanaona sawa ila makosa ya marefa na wachezaji wakiwanufaisha wapinzani wao wakuu wanakuja na madai ya bahashaNilibahatika kuongea na mashabiki wa Yanga baada ya mechi yao na Geita kuisha nikawaukiza kama walikubaliana na ile penati, wakasema ile haikuwa penati ya halali lakini kama refa ametupa sisi tukatae? Vivyo hivyo na kwa Simba, kama refa ameridhia kuwa ni goli wakatae?
Heee kaka kwani unalazimishwa kulamba utamu wetu? Ww endelea na utamu wako sie tuachie yetu kaka 😛😛Waaambie mbumbumbu wenzako labda watakuelewa...
Timu haiwezi piga pasi hata 5 tu eti Kuna vibwengo wanakuambia Simba tamu[emoji1][emoji1]
Haya Mbeya CityNadhani tayari umesikia halikupaswa kuwa goli..
subili cha pili tuje kuwapachika hogo la jang'ombe make sawa
Kwani we ni kibwengo mkuu?Heee kaka kwani unalazimishwa kulamba utamu wetu? Ww endelea na utamu wako sie tuachie yetu kaka 😛😛
Yule ni kapombe ila haikua penati ileRafu dhidi ya Phiri ilipaswa iwe Penati
Sawa nguruwe mwituNawakumbusha mbumbumbu kuwa hata kagera sugar aliongoza goli 2 -0 kipindi cha kwanza dhidi ya mbeya City,. Kilichowakuta kagera nanyie kitawakuta tu
yani sijui kaamua kwa kutumia kanuni ipi!?Offside ya Okrah ni uamuzi mbovu wa Line 1
Hapana.. kwani ww ni Kinyesi Fc?Kwani we ni kibwengo mkuu?
Acha jakamoyo braza sijui baba... kama una raha na timu yako huku unafata nini? Wenye raha huwaoni humu yani wale anibiten wenye raha huwaoni humu ila ww naona unatutakia mabaya kweli unateseka.Nawakumbusha mbumbumbu kuwa hata kagera sugar aliongoza goli 2 -0 kipindi cha kwanza dhidi ya mbeya City,. Kilichowakuta kagera nanyie kitawakuta tu
Sasa mkibaki wenyewe humu furahi mtaitowa wapi?? Simba na Yanga huwaga lazima mmoja mkere mwenzake.. we ukijiletaga kwenye mechi zetu Huwa tunakufukuza??? Mbona Leo ushabiki unataka kukutokea puani?? Nimewakera sana eeh?? Na bado ngoja tuchomoe goli ndio mtajua hamjui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha jakamoyo braza sijui baba... kama una raha na timu yako huku unafata nini? Wenye raha huwaoni humu yani wale anibiten wenye raha huwaoni humu ila ww naona unatutakia mabaya kweli unateseka.