ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tariq seifNani kafunga?
Mgunda sio kocha, hatoshi.Nilisema hapo juu. Benchi la ufundi la Simba lina tatizo kubwa inapokuja kwenye kusoma mchezo na kufanya sub.
Tatizo la simba sio kocha ni ubovu wa wachezaji, tusimuonee kocha hata kidogoTukipoteza pointi mbili na leo, na kwa ile kasi ya Azam, sasa Simba tunaipigania nafasi ya pili, sio ya kwanza tena, tusidanganyane, Mgunda hatoshi.