FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

Bado kuna watu watamlaumu Bocco,ila Sakho anarukaruka na kupoteza mipira mingi.
 
Mkuu kolo ulipotelea wapi ndugu? Au ulikuwa kwenye project ya lile ghorofa letu?
Kuna watu walikuzushia umekufa mkeo aligoma kukufungulia geti ukaamua kuruka geti ukachomwa na nondo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alitekwa kama mudi
 
Wakishindwa kupata ushindi ata kwa timu inayoburuta mkia basi nitawashauri wakaoge maji ya chumvi wajitakase, polisi wanaonyesha udhaifu mkubwa kwenye safu yao ya ulinzi nafikiri ndio maana wanaburuta mkia
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Ushirika | Polisi 0-2 Simba SC

Hakuna mabadiliko kwa wachezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…