FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

Siangalii game la leo ila tumewahi kujadili uamuzi bora kabisa wa kumleta Mzambia mwenzake pale mbele.

Nafikiri siri moja ya mafanikio ya Yanga ni uwepo wa watu wengi wanaotoka taifa moja.
Kabisa..assist mbili zote kwa phiri
 
Kibendera uwe na siku njema sisi hatuna noma na wewe
 
Kuna watu wamepiga Bomu mochwari halafu wanajisifu wameua.. Kwa taarifa yenu ni kuwa police ipo mkiani mwa ligi pamoja na ihefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…