FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

Kuna watu wamepiga Bomu mochwari halafu wanajisifu wameua.. Kwa taarifa yenu ni kuwa police ipo mkiani mwa ligi pamoja na ihefu
Kwa hiyo Yanga next week ikiifunga Ihefu itakuwa imepiga bomu mochwari sio? Au umesahau kuwa mnakuja Mbeya kucheza na Ihefu?
 
kati ya mechi 7+ chama alionekana mechi 1 tu. huyu hizi ndo mechi zake
Na iyo mechi itakuwa ni ya ihefu au ruvu au Mtibwa wakiwa pungufu wachezaji wawili.. mchezaji slow km konokono hawezi soka la ushindani
 
Utashangazwa topolo wewe
Labda maajabu yawe yameisha duniani.. Hivi huo ujasili wa kusema Simba inachukua kombe unautoa wapi we kolo?? Huoni timu zote ulizodondosha point Simba, Yanga amechukua point? Anza na Kmc, Azam, singida big stars na mbeya city.. halafu hakuna timu ambayo Yanga amedondosha point we ukachukua..
 
Kwa spidi hii golden boot inaenda kwa Phiri.. akifuatiwa na Bocco
 
Na iyo mechi itakuwa ni ya ihefu au ruvu au Mtibwa wakiwa pungufu wachezaji wawili.. mchezaji slow km konokono hawezi soka la ushindan
Kisila Tusila anakimbia sana....lakini ni bure. Mpira ni akili. Angalia wachezaji wenye assist. Linganisha tusila kisinda na chama. Mpira ungekuwa mbio kenya wangekuwa mbali sana maana wanariadha wengi wanatoka kenya na ethiopia. Mpira ni akili na mimi zamani nlikuwa kama wewe...nlidhani mbio zangu zingenisaidia. Wakaniambia niache upumbavu niwe natumia akili. Nikajifunza. Sasa miaka 48 ndo naelewa mpira ni akili.
 
Kuna watu wamepiga Bomu mochwari halafu wanajisifu wameua.. Kwa taarifa yenu ni kuwa police ipo mkiani mwa ligi pamoja na ihe

Nimekueleza utashangazwa Topolo wewe
 
Kuna watu wamepiga Bomu mochwari halafu wanajisifu wameua.. Kwa taarifa yenu ni kuwa police ipo mkiani mwa ligi pamoja na ihefu
Game ya Yanga na Polisi niliangalia, Yanga alishinda kwa mbinde na kwa sababu Polisi walikosa umakini. Ila uko sahihi, Polisi ni timu ya kawaida.
 
Ndio maana nimesema soka la ushindani.. unajua kwanini hawiki au hawezi kwenda kucheza timu kubwa barani AFRIKA? Au kwanini aliflop huko kwenye ligi zilizoenda shule??
Kwenye comment yangu hakuna mahala nimesema ukiwa na mbio ndio unajua kucheza mpira
 
Matumaini ya Polisi kusawazisha mabao matatu yanazidi kufifia

83' Polisi Tanzania 0-3 Simba SC
 
Game ya Yanga na Polisi niliangalia, Yanga alishinda kwa mbinde na kwa sababu Polisi walikosa umakini. Ila uko sahihi, Polisi ni timu ya kawaida.
Ile ilikuwa ni game ya kwanza ya ligi ambapo kila timu Huwa na energy ya kutosha tofauti na leo. Pia uwanja wa sheikh Amri Abeid haukuwa mzuri Kwa Yanga kutembeza boli, tofauti na leo Simba liko vizuri sana japo huoni Simba kama wanajua kutembeza boli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…