FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

Mimi ni shabiki wa Simba lakini nitashangilia baada ya mechi kuisha kama vijana hawatarudisha
 
Polisi Tanzania uwezo wake ni mdogo sana......ilistahili kuwepo ligi daraja la pili
 
Police Hawa Simba ni size yenu kabisa, japo wametangulia kwa goli mbili za mchongo ila hawajawazidi kitu.

Mkikomaa Cha pili mnachomoa kama walivyofanya mbeya city na Kmc.. Simba hamna timu hapo wangu komaeni
 
Back
Top Bottom