Utofauti wenu nyinyi yanga ni wepesi kudanganyika, na ndio maana mpaka leo mnaendelea kummhangaika na morison
Mlidanganywa mnachkua ubingwa na kama ikitokea hamjachkua mkamuulize bwana nugaz, mkaamini lakini ubingwa ukaenda msimbazi. Mlimfata nugaz?
Haya kama hiyo haitoshi na goli kipa aliyeletwa mlidanganywa kua ni bora zaidi ana daka gmhadi mishale lakini humu zilifululiza nyuzi za wana yanga wenzako wakilalamika kua jamaa anafungwa magoli mepesi
Now mmeanza kumpaisha aucho, wengine wameenda mbali wakamfananisha mpaka na chama na kusema aucho kamzidi chama
Hizi sifa na tambo hamjaanza leo, kuna tambo gani iliyobamba kama ile ya kumbeba juu juu kalinyo?