[emoji41][emoji41][emoji41] eeehhhHawa Geita wanalala mapema sana leo. Makolo wekeni akiba ya maneno…
[emoji41][emoji41][emoji41] eeehhh
Bado muda mwingi tuna rudisha mbona chap tuVipi unasemaje sasa? Dakika ya 18 ni mapema au sio mapema?
Yacouba hafai kucheza timu kubwa anakera vibaya mnoYocouba kama kawaida yake yeye na kipa tu kakosa goli. Kocha ovyo sana
ngap ngap mkuuHuyu Mayele Alijua Kuikamia Simba Tuu, Yanga Watamchukua Muda Si Mrefu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Waanze kumkumbuka Makambo
ngap ngap mkuu
Kwani Yanga ni timu kubwa?Yacouba hafai kucheza timu kubwa anakera vibaya mno
Beki ya kulia Geita gold imezidiwa sana wasipoangalia watafungwa goli nyingi.
Labda wame bet hawa siwaelewi kabsaHata goli la kwanza ni uzembe wake wa kushindwa kumkaba Yacuba, Alikuwa anauwezo mkubwa 99% ya kumzuia asiende
Nakubaliana na ww. Ndiyo maana anachezea Uto FC timu ndogoYacouba hafai kucheza timu kubwa anakera vibaya mno
Haa HaaYocouba kama kawaida yake yeye na kipa tu kakosa goli. Kocha ovyo sana
Mayele[emoji23][emoji23][emoji23]
shida wanapiteza mipira muhimu saanaKipindi cha pili Geita Gold tunakwenda kumchomeka mtu mwiko nyuma
Dah hapo wananchi tumepigwa na kitu kizitoMayele😂😂😂