Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yacouba ana matatizo yale yale kila mechi tunaona anavyoikosesha Yanga ushindi mnono. Kwanini kocha asiwapange wachezaji wengine? Kuna Kaseke, kuna Ambundo kuna Yusuph Athuman. Kwanini wasiwape nafasi wengine kwenye first eleven?Sasa hapo kocha anahusika vipi ulitaka kocha ashike mguu wa yacouba?
Mambo mengine mnataka kumjazia tu stress nabi tito wawatu
Kwani Aucho ni mfungaji mpaka atajwe?Aucho vipi huko mbona hasikiki, hayupo kikosini au bado ana mbwera kama kawaida yake?
kiwingereza hiki veepe!In Dar es Salaam Young Africans we don't blame players at any cost
Naona hata ukilala unamuota,kwanza wewe Me au Ke?nataka nikusaidieAucho vipi huko mbona hasikiki, hayupo kikosini au bado ana mbwera kama kawaida yake?
Because you blame on referees, tff and witchcraft. You blame everything else but yourselves.In Dar es Salaam Young Africans we don't blame players at any cost
Kwa yanga hili tatizo sio geni na wala halipo kwa yacoouba peke yake, au umemsahau makambo?Yacouba ana matatizo yale yale kila mechi tunaona anavyoikosesha Yanga ushindi mnono. Kwanini kocha asiwapange wachezaji wengine? Kuna Kaseke, kuna Ambundo kuna Yusuph Athuman. Kwanini wasiwape nafasi wengine kwenye first eleven?
Aliwazalo mjinga ndio litakalomtokeaHii yanga ni kama chapa kilevi fc tu ya temeke,,,
Ngoja wadroo au wafungwe tutasikia mengi tu
Aliwazalo mjinga ndio litakalomtokea
Bado goli 4 Yanga wasitutanie😁😁😁Utopolo hoiiiiii,na hao ni Geita Gold Mine wanawatoa jasho,subiri mkutane na Coastal Union na Polisi,benchi zima la ufundi mtafukuza tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Hauwezi kuwaelewa kwavile Mugalu kakufanya usiwaelewe wa congoKwa yanga hili tatizo sio geni na wala halipo kwa yacoouba peke yake, au umemsahau makambo?
Labda kina kaseke ukongwe wao umewafanya wawe na afadhali lakini hao madansa wa kikongo siwaelewi kwakweli
Unamaanisha???Djuma keshamaliza msimu