FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

And if this squad beat u to win the community shield, You have no right to speak
 
Sasa hapo kocha anahusika vipi ulitaka kocha ashike mguu wa yacouba?

Mambo mengine mnataka kumjazia tu stress nabi tito wawatu
Yacouba ana matatizo yale yale kila mechi tunaona anavyoikosesha Yanga ushindi mnono. Kwanini kocha asiwapange wachezaji wengine? Kuna Kaseke, kuna Ambundo kuna Yusuph Athuman. Kwanini wasiwape nafasi wengine kwenye first eleven?
 
Yanga nipe furaha coz manchester wameniharibia weekend..
 
In Dar es Salaam Young Africans we don't blame players at any cost
 
Yacouba ana matatizo yale yale kila mechi tunaona anavyoikosesha Yanga ushindi mnono. Kwanini kocha asiwapange wachezaji wengine? Kuna Kaseke, kuna Ambundo kuna Yusuph Athuman. Kwanini wasiwape nafasi wengine kwenye first eleven?
Kwa yanga hili tatizo sio geni na wala halipo kwa yacoouba peke yake, au umemsahau makambo?

Labda kina kaseke ukongwe wao umewafanya wawe na afadhali lakini hao madansa wa kikongo siwaelewi kwakweli
 
Wana buildup nzuri lakini wakifika mbele tu wanaharibu kila kitu

Timu zote Bongo isipokuwa Simba ziko hivi
 
Utopolo hoiiiiii,na hao ni Geita Gold Mine wanawatoa jasho,subiri mkutane na Coastal Union na Polisi,benchi zima la ufundi mtafukuza tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Bado goli 4 Yanga wasitutanie😁😁😁
 
Kwa yanga hili tatizo sio geni na wala halipo kwa yacoouba peke yake, au umemsahau makambo?

Labda kina kaseke ukongwe wao umewafanya wawe na afadhali lakini hao madansa wa kikongo siwaelewi kwakweli
Hauwezi kuwaelewa kwavile Mugalu kakufanya usiwaelewe wa congo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…