FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

Hakuna kilichomponza zaidi ya Bahasha tu
Sawa kafungue kesi TAKUKURU maana unao uhakika kuna biashara imefanyika. Ambatanisha na vithibitisho vyako, msitupigie kelele za kulia lia humu wakati mamlaka zipo. Chukua hatua
 
Ila jama tujaribuni kutanua kope mbona magoli ya hivi jama.
Toka walazimike kubadili jezi zao nyeusi wamekuwa wanapata goli kama hizi. Wamekiuka masharti ya mganga wao sasa ni aibu tu.

Mechi na Ihefu walilazimika kuvuta nyavu za golini goli ndiyo likaja.

 
Uto mmeshinda bila kufunga goli. Mimi nadhani mtaendelea hivi hivi kwa magoli ya namna hii hadi ligi inaisha na ubingwa hampati.
Mahesabu yanakusumbua, sasa tukiendelea hivi wakaendelea kujifunga point Wanapewa wao?
 
Hivi vigoli 1-0 kila siku sio masharti ya mganga?!
 
Ila Musonda ni mchezaji mzuri sana yaani.
Ana mikimbio mizuri na mipya kabisa.
Ni wa kipekee sana kwakweli.
 
Hivi vigoli 1-0 kila siku sio masharti ya mganga?!
Ni masharti ya mganga mkuu. Kasema watashinda vigoli vya dizaini hiyo hadi kuchukua kombe la NBC msimu huu
N.B
Yanga anatakiwa ashinde mechi 7 ili atangaze ubingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…