FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

Wananchi (Yanga FC) tunaachaje kunenepa kwa jinsi Makolokolo Mbumbumbu Makelele Malalamiko Kolowizards Mikia Ngada kama huyu anavyoteseka hivi? [emoji28]
 
Yaani hawa na Azam wanatubaniaga sana na mara nyingi huwaga tunachezaga na timu mbili.
Mnasemaga oooh Azam tawi la Simba, mbona wameifunga Simba na wakashangilia kweri kweri? Tena wakati Simba anazihitaji sana point 3
 
Yule kichuya anastahili kurudi simba hakuna wakumuweka bench
Yule musonda na kambole tofauti yao majina tu
Namungo walistahili point kwenye mechi ya leo
Leo ndio nimeamini kocha nabi hana mbinu anabahatisha tu team imezidiwa kipindi chote cha kwanza anatoa macho tu mpaka dakika ya 40 yanga hawajapiga shot on target hata moja mi najua hizi kelele zote zitaisha kwenye Caf confederation cup na tp mazembe.
 
Misimu sita Azam hajawahi kukufunga ww, juzi hapa kaona kabisa aibu. Halafu boss mwenyewe anakadi ya Simba.
Kwa hiyo nini kikatokea? Maana point 6 tunazoongelea, 3 ndiyo hizo alizochukua Azam
 
Alisikika kolo mmoja akisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…