ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Aishi miaka mingi mzee RagePhiri hajacheza zaidi ya miezi miwili, akirudi akicheza game mbili tu anamuacha Mayele. Mna bahati tumewaachia Mayele apambane na wachezaji wapya kina Baleke.