FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

Kwa hiyo nini kikatokea? Maana point 6 tunazoongelea, 3 ndiyo hizo alizochukua Azam
Kachukua tatu sababu mna timu mbovu msimu huu. Ila nyie si mnakubaliana, kuna msimu mmoja Azam alivyo chukua ubingwa, mlikubaliana Azam wawafunge ili mum kombe Yanga matokeo yake mechi ikaisha Azam 2-1 Simba,huku Simba akianza kutangulia.
 
Ushabiki mwingine aiisee. Haya Musonda kapata clear chances ngapi tokea alivyocheza mechi yake ya kwanza mpaka leo hii kapata nafasi ngapi unasema hapa hakuna mfungaji? Tupe takwimu
Tokea Musonda asajiliwe unajua Mayele kapoteza nafasi ngapi za wazi tena za kumalizia tu lakini kukosa kwa Mayele haiwi gumzo kwasababu kaishawanyazisha. Ila mmeamia kwa mtu ambaye hakuna nafasi ambayo unaweza kumuhukumu. Jana Baleke yeye na kipa tu kashindwa kufunga. Tupe chances alizotengenezewa Musonda. Kwako shabiki maandazi lete takwimu Musonda katengenezewa nafasi ngapi?
 
Kachukua tatu sababu mna timu mbovu msimu huu. Ila nyie si mnakubaliana, kuna msimu mmoja Azam alivyo chukua ubingwa, mlikubaliana Azam wawafunge ili mum kombe Yanga matokeo yake mechi ikaisha Azam 2-1 Simba,huku Simba akianza kutangulia.
Kusema timu mbovu unakosea sana ndugu yangu. Unaongelea timu ambayo inaongoza kwa mbali sana kwa magoli mpaka sasa katika ligi. Timu ambayo imeshinda mechi zote za CAF msimu huu, nyumbani na ugenini.

Ukisema timu ambayo kuna wakati haichezi vizuri labda tunaweza kukubaliana. Mimi siyo mshabiki lia lia.
 
Baleke alifunga goli mbili za halali kabisa jana. Lililokataliwa linafanana kabisa na hilo alilokosa.
 
Timu huna ww timu ya mchezaji mmoja nayo timu.
 
Unakipaji cha umbumbumbu
 
Hapo umekuja kwenyewe lete takwimu za baleke mkosa magoli na musonda mpata magoli kwenye league kuu mchezaji hata asipofunga anajulikana tu hana toffees na kibu Denis yule.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Baleke alifunga goli mbili za halali kabisa jana. Lililokataliwa linafanana kabisa na hilo alilokosa.
Azam walifanya replay zaidi ya mara tatu na kugandisha tukio. Na wazi kabisa ni offside na mtangazaji akamsifia kibendera kwa kuweza kwa ufasaha. Wewe unakuja kuleta uongo hapa
 
Azam walifanya replay zaidi ya mara tatu na kugandisha tukio. Na wazi kabisa ni offside na mtangazaji akamsifia kibendera kwa kuweza kwa ufasaha. Wewe unakuja kuleta uongo hapa
Offside kivipi, Zimbwe alipopokea mpira, Baleke alikuwa nyuma yake. Kama ZImbwe hakuwa offside hadi anapiga cross, Baleke inakuwaje awe offside?

By the way matangazo yalikata na sijaangalia replay ya game nzima zaidi ya clips youtube ila ile haikuwa offside.
 
Hapo umekuja kwenyewe lete takwimu za baleke mkosa magoli na musonda mpata magoli kwenye league kuu mchezaji hata asipofunga anajulikana tu hana toffees na kibu Denis yule.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Nikupe takwimu ipi? Wewe uliyesema Musonda ni Kombole ndio ulete takwimu nafasi katengenezewa akakosa? Wewe si ndiye uliye muhukumu. Hakimu toa takwimu binafsi siwezi kumuhukumu kwasababu sijaona clear chances alizotengenezewa kwenye mechi za ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…