FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

Kichuya anapiga shuti mtoto inakuwa chakula Kwa mdaka mishale
 
Sijajua kama Makocha wa hizi timu ndogo wana shida gani wanapocheza na Yanga na Simba. In short huwezi kuzifunga au kupunguza mvua za magoli kutoka kwa Simba na Yanga kwa kuiga mchezo wao, yaani kucheza pasi fupifupi na nyingi. Lazma wafungwe. Ihefu walipaki basi na kupiga pasi ndefu na kufanya counter attack, waliisumbua Sana Simba kwa Mkapa. Strategy nzuri kubutua mbele tu ili kutoruhusu mpira uchezwe kwenye nusu yenu. Hizi timu ukizibutulia mpira unawaharibia plan kabisa.
 
Hawa Namungo sehemu ya Kuondosha Mpira wao wanawapa advante Yanga ya Kurusha
 
Back
Top Bottom