mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
-
- #41
huyu Aziz Kwa kupiga watu matobo [emoji1][emoji1]
Kapicha mkuuHii mechi ya leo Jezi Natofautishaje?
Kuifunga Yanga ni kaz ngumu sana kama unabisha waulize Simba [emoji1][emoji1]Pengo la feitoto lipo sana na leo Yanga wakija ovyo wanapigwa
Kuifunga Yanga ni kaz ngumu sana kama unabisha waulize Simba [emoji1][emoji1]
Hahahahaha Kwa Sasa Ihefu ndio wamekuwa watetezi wa Simba[emoji848]Simba nimewaulize wamasema Niwaulize Ihefu
Hahahahaha Kwa Sasa Ihefu ndio wamekuwa watetezi wa Simba[emoji848]
Umesema Simba wamesemaKuna sehemu wametetea?