Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Namungo nyie ni ndugu zetu kabisa tunawategemea msituangushe Hawa utopolo ni wepesi kama karatasi bahasha tu ndio zinazowaweka pale kileleni..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajifanya mkosoaji nayeye kumbe ni walewale tu utopoloHata wewe umekosea mkuu sio Mabigwa bali Mabingwa.
[emoji28][emoji28][emoji28]Hata wewe umekosea mkuu sio Mabigwa bali Mabingwa.
Wakifunga utawaonaLiuzi limedoda kama uji wa jana
Kumbuka hii mechi inawahusu wananchi wa Tanzania, ambao kimsingi ni wastaarabu.Liuzi limedoda kama uji wa jana
Naomuna Musonda anachoma mwindiKikosi cha Yanga vs Namungo View attachment 2506202
Hawana uhakika.Liuzi limedoda kama uji wa jana
Camera za Azam changamoto mkuu maana hapa Kuna nyeusi Kwa goldHii mechi ya leo Jezi Natofautishaje?