FT: Ligi ya NBC: KMC 0 vs 1 Yanga S.C: Uwanja wa Benjamin Mkapa, 22/02/2023

FT: Ligi ya NBC: KMC 0 vs 1 Yanga S.C: Uwanja wa Benjamin Mkapa, 22/02/2023

kmc 0:1 bahasha fc FT
 

Attachments

  • IMG_20230216_155847_164.jpg
    IMG_20230216_155847_164.jpg
    106.7 KB · Views: 1
Kwa hiyo kwa akili zako za kuvukia barabara, hiyo picha ndio ushahidi wa Yanga kushinda kwa bahasha? Kama ni mzazi basi wanao wana mtihani wa kumpata mzazi wa dizaini yako. Haya tupe basi na ushahidi wa bahasha za TP Mazembe, Monastir, Azam na nyie wenyewe Simba tulizowapa ili Yanga ipate matokeo.
Wasamehe mkuu wamevurugwa na msimamizi wa uchaguzi Manzoki alimuibia kura Mangungo
 
UShindi mwembwambwaaaa...Yanga ni kama kachumbari kuna siku inachangamka kuna siku imepooza
 
Back
Top Bottom