FT: Ligi ya NBC: KMC 0 vs 1 Yanga S.C: Uwanja wa Benjamin Mkapa, 22/02/2023

FT: Ligi ya NBC: KMC 0 vs 1 Yanga S.C: Uwanja wa Benjamin Mkapa, 22/02/2023

Mpira ni mchezo wa makosa ila makosa yakifanywa dhidi ya Yanga ni bahasha. Ila makosa yakifanywa dhidi timu yenu ya Simba hamuimbi wimbo wa bahasha. Jana mchezaji wa Azam kafanya kosa la kupiga kichwa mpira golini kwake na kuingia wavuni kulikuwa na bahasha?
Acha kubwabwaja wewe uto
huoni mimi nimekuja na picha ya ushahidi.

Simba tunatumia uwezo wetu ndio maana tunakamiwa na vitimu vidogo sio bahasha na rubber band
 
Acha kubwabwaja wewe uto
huoni mimi nimekuja na picha ya ushahidi.

Simba tunatumia uwezo wetu ndio maana tunakamiwa na vitimu vidogo sio bahasha na rubber band
Huyu hapa beki wa Azam Akiweka mpira golini kwake ili Simba iepuke kipigo
Screenshot_20230222-165537.jpg
 
Huyu Kipa anadaka kwa hisani ya bahasha

Ovyo kabisaView attachment 2526367
Simba mmekuwa wapumbavu kabisa 😅.. Nani alikwambia kila timu inayofungwa na yanga mchezajj anachukua bahasha?. Mbona mechi zenu hamsemi kuchukua hizo bahasha?, Kuna nyakati msikomaze mishipa ya kunduziii zenu kwa vitu vilivyo wazi... Jinga waheedi.
 
Acha kubwabwaja wewe uto
huoni mimi nimekuja na picha ya ushahidi.

Simba tunatumia uwezo wetu ndio maana tunakamiwa na vitimu vidogo sio bahasha na rubber band
Kwa hiyo kwa akili zako za kuvukia barabara, hiyo picha ndio ushahidi wa Yanga kushinda kwa bahasha? Kama ni mzazi basi wanao wana mtihani wa kumpata mzazi wa dizaini yako. Haya tupe basi na ushahidi wa bahasha za TP Mazembe, Monastir, Azam na nyie wenyewe Simba tulizowapa ili Yanga ipate matokeo.
 
Back
Top Bottom