Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba amechukua ubingwa mara 4 mfululizo kitu ambacho yanga hatafanikiwa kamweMikolo inachungulia na kusepa[emoji2]
Kusema hatafanikiwa kamwe hapo ndio unakosea, ni sawa na kusema Yanga amechukua ubingwa mara 29 kitu ambacho Simba hatafanikiwa kamwe[emoji23][emoji23]Simba amechukua ubingwa mara 4 mfululizo kitu amnacho yanga hatafanikiwa kamwe
29 which???Kusema hatafanikiwa kamwe hapo ndio unakosea, ni sawa na kusema Yanga amechukua ubingwa mara 29 kitu ambacho Simba hatafanikiwa kamwe[emoji23][emoji23]
Utopolo hawajielewiSimba amechukua ubingwa mara 4 mfululizo kitu ambacho yanga hatafanikiwa kamwe
Vitu vingine kama hamjui ni kheri mkakaa kimyaSimba amechukua ubingwa mara 4 mfululizo kitu ambacho yanga hatafanikiwa kamwe
Mikolo inachungulia na kusepa[emoji2]
Hii ndiyo maana halisi sasa ya kuwa na quality players, pamoja na kikosi kipana!! Yaani hata mwalimu angeamua kubadilisha timu nzima, bado kusingetokea mtikisiko wowote.Vikosi vya timu zote ni kama hivi [emoji116]View attachment 2526266View attachment 2526268
Washanunua tayari, tusubiri magoli ya kujifunga..Vikosi vya timu zote ni kama hivi [emoji116]View attachment 2526266View attachment 2526268
Kama ilivyokuwa jana yule beki wa Azam akaamua kujifunga sio[emoji23][emoji23]Washanunua tayari, tusubiri magoli ya kujifunga..